Ticker

6/recent/ticker-posts

JINSI YA KUJIUNGA NA SUPER GREAT INTERNATIONAL



 🤗Karibu sana Supergreat international kwa ustawi kiafya na fursa ya kujikomboa kifedha kupitia bidhaa yake ya SG9PLUS ADVANCE TRIPLE STEMCELL

 ✳️ Bei ya box1 ni Tshs 135,000 (½dozi)

                   box2 ni Tshs 270,000 (dozi1)

✳️Mteja au mwanachama akijisajili anakidhi kigezo cha kujinunulia bidhaa kwenye mfumo Kwa bei ya punguzo ( discount).

🎯JINSI YA KUJIUNGA NA SUPER GREAT INTERNATIONAL

Rahisi sana na Bure.

🎯Unachagua tu kifurushi cha Bidhaa ili kununua na kutoa taarifa zako kwa yule anayekuajiri/kusajili

   👇👇👇👇👇

 1 Majina kamili

 2.Nambari ya simu

 3.Nambari ya kitambulisho cha Taifa

 4.Barua pepe

👉🏻Hakuna ada ya usajili, nunua tu Kifurushi chako na uko ndani.

 📌Kiasi gani??

➡️Ili kuwa mwanachama Mkuu au Msambazaji Bora, chagua mojawapo ya vifurushi vifuatavyo;

👇👇👇👇

1 START UP ni Tshs 135,000  ($48) 

     (Jipatie box 1)    

2 BASIC  ni     Tshs 270,000    ($95)

      (Jipatie box 2)

3 MASTER ni Tshs 1,300,000 ($460)

      (Jipatie box10) 

4 PREMIER ni Tshs 2,600,000 ($915)

      (Jipatie box20)

🔸 Kadiri kifurushi unachojiandikisha nacho kikiwa juu, ndivyo Bonasi Unavyopata Kubwa zaidi kwenye Super Great nternational.

🔸Unaweza kujiandikisha kwenye kifurushi cha chini (kidogo) na kisha upande (upgrade) kwenye kifurushi kikubwa zaidi baadae.

🔸Sanduku la SG9PLUS Advance Stemcell lina satchet 15 kila moja ikiwa na 3000mg

Je, ni majukumu gani makubwa baada ya kujiunga na Super Great International?

➡️ Tumia Bidhaa zetu kwa manufaa yako ya kiafya (Bidhaa Consumer)

➡️ Shirikisha shuhuda na wengine (Marketing-Usiwe mkali na taarifa yoyote nzuri ambayo inaweza kuwa msaada kwa wengine) 

➡️Unaweza kununua kwa Bei za chini na kuuza kwa Bei ya Juu kwa Wasio wanachama (Reja reja)

➡️Unaamua kuajiri wanachama Wapya na Kuunda timu ambayo itakupa mapato yasiyoisha (Enterprenuer)

➡️Unaweza kuamua kuwa mwekezaji mkubwa ambaye huuza na  kusambaza kwa wanachama na wasambazaji wengine wote (Wakala wa Nchi au Mmiliki wa Hisa)

➡️Pia unaweza kuamua kuwa haya yote hapo juu.

Post a Comment

0 Comments